Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Amazing walahi
Ya kweli haya? [emoji1][emoji1]
Huyo mama kiboko !!!Queen of the South S3
Kwa nini? Picha zangu zote zinapendeza sis. Sawasawa na za kwako tu [emoji16][emoji16][emoji16]Picha zako zote zingekuwa hivi ingependeza sana walahi!
Nifungulie PM nikuulize kitu kama unasema kweli....Mimi mchawi walahi
Nimerithi kwa mababu na bibi, pamoja na great grandfather!
Yeye alikuwa hatareeeeere!
Wa chenge cha mtoto walahi
Huyu mama ni mwanamke wa chuma aisee,,, bro kumbe unaifatilia?? Naipenda sana aisee,, wazee wa SinaLoa MexicoHuyo mama kiboko !!!
Nimeanza kuiangalia hivi karibuni. Biashara ya unga ni ngumu na yenye ukatili mkubwa lakini mama naye yumo.Huyu mama ni mwanamke wa chuma aisee,,, bro kumbe unaifatilia?? Naipenda sana aisee,, wazee wa SinaLoa Mexico
Kwema lakn bro Shimba
Hahahhaha kweli aisee*Hakuna msichana* *anayekua bize kama* *ambae hakutaki*
*Anaweza kukwambia* *usiku mwema ata saa 8* *mchana*
*Jaman wanaume* *tunapitia mengi*
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Maisha siyo poa
Mbona unarudia rudia sana,,,,
Hahahaha
Hapana huyo ni Marie Loveau wa New Orleans alikuwa ni Mchawi kweli kweli!
I love her Spirit walahi