Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Misa haina tatizo. Ni kuvumiliana tu. Mizimu je?Misa
Misa haina tatizo. Ni kuvumiliana tu. Mizimu je?Misa
[emoji23][emoji23][emoji23] ni kweli ila binti mpole kafanya kusudi hii aisee ngoja aje atasema tuInatokeaga. Unabofya haiendi. Unabofya tena haiendi. Hata mara tano. Ukija kuangalia kumbe posti zote zimeenda
Hongera mkuu [emoji16][emoji16][emoji16]My Queen ni mwisho
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Jizazi [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
[emoji16] [emoji16] [emoji16]Kama Anaendelea kukujibu
"mimi nina mtu wangu"
braza usikate tamaa..msichana mwenye msimamo hana muda wa kujib sms.
[emoji23][emoji23]
[emoji16] [emoji16]Yani majina ya wachezaji wa timu ya CROATIA yananiacha hoi sana:
_makabichi
-Parachichi
-Haujifichi
-Bangi mbichi
yan tabu kweli.....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utoto raha sana aisee halafu hajui kama mshua hapo kajiba mpaka basiHalafu ndo aporomoke nayo sasa dah !!!
[emoji16] [emoji16] [emoji16]*Hakuna msichana* *anayekua bize kama* *ambae hakutaki*
*Anaweza kukwambia* *usiku mwema ata saa 8* *mchana*
*Jaman wanaume* *tunapitia mengi*
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
[emoji16] [emoji16]
Hahahahahaha[emoji16] [emoji16] [emoji16][emoji12][emoji12] *KUNA MTOTO AMEZALIWA SAIVI HUKO MWAKALELI ANAITWA ATUFARANSA MWAKORESHIA*
[emoji888][emoji888]