Ni kweli darling we ni wapekee.Kaniambia niko pekeangu
HahahaSina mpenz hizo karanga zitanipeleka chaputa..
[emoji24] [emoji24] [emoji24] waaaaiiiii??lakini?waaaiiii???Nakupenda pia habit wangu
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] Sasa hivi mtu anapelekewa kilioPanzi kiziwi anaweza akaliwa na ndege mwenye makelele!
Me siwezi kwakwel[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] muwe mna vumilia
Eh kumbe upo ktk mitego yenu ileInategemea na dhana ya mtego uliyonayo kichwani mkuu....
AMUN RAWakuu niwatakie usiku mwema.Tuombeane maisha mema na marefu ili tuendelee kufurahia upendo wa Muumba kwa kukutanishwa na kutakiana furaha namna hii.Kesho ni siku ya ibada tusisahau kwenda kumtukuza Mungu kwa wale Wakristu wenzangu.Amani na upendo wa Mungu viwe daima nanyi.Gdnight.
Karibia nipate hug yako ambayo inajoto mubashara sweetieNakupenda pia habit wangu
Amina,usiku mwema na kwako piaWakuu niwatakie usiku mwema.Tuombeane maisha mema na marefu ili tuendelee kufurahia upendo wa Muumba kwa kukutanishwa na kutakiana furaha namna hii.Kesho ni siku ya ibada tusisahau kwenda kumtukuza Mungu kwa wale Wakristu wenzangu.Amani na upendo wa Mungu viwe daima nanyi.Gdnight.
Nadhani umeona mwenyeweKali!