Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wakuu niwatakie usiku mwema.Tuombeane maisha mema na marefu ili tuendelee kufurahia upendo wa Muumba kwa kukutanishwa na kutakiana furaha namna hii.Kesho ni siku ya ibada tusisahau kwenda kumtukuza Mungu kwa wale Wakristu wenzangu.Amani na upendo wa Mungu viwe daima nanyi.Gdnight.
Lala salama mkuu. Na hayo majoka yanayokusumbua usiku safari hii yashindwe nayalegee kwa Jina la Yesu...
 
Back
Top Bottom