[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwanini hukuniambia kama unae wa moyoni[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Muongozo ameutoa mzee wa liver ila ni wakibabe sana 80k usiku wa leo hapa mpaka nataka kukimbia mzee wa liver anatuua aiseeAsante sanaa kaka mwongozo tafadhari
Usicheke mkuuHahaahhaha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hajakwambia kama kuna engagement hivi karibuni??[emoji125] [emoji125] [emoji125] Cc;Kichwa KichafuMi alinilaghai kaniambia atanilipia mpaka kodi
HahaahahhaahWataje kabisa tukusaidie kulinda
Kula likesLike
We mwanaume umenishinda...andjul nabwaga manyanga huku[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hamna upo pekee yako lov.