Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mtu haendi shambani kuuchapa usingizi.....
Hataki kutaja anaweka mafumbo tu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wataje kabisa tukusaidie kulinda
Kwanini hukuniambia kama unae wa moyoni[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]Hamna foleni kwako kipenzi maana ukiniacha sidhani kama nitapata mwingine kipenzi cha moyo
Hamna upo pekee yako lov.Kwanini hukuniambia kama unae wa moyoni[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Mi alinilaghai kaniambia atanilipia mpaka kodiSammy si yupo?
HhaahahaWamenipotezea muda
Nilitaka kushangaa tamu igeuke shubiriHamna upo pekee yako lov.