Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Jana si alikuwa mpaka na mapete huyu na mabegi lukuki anahamia nyumbani kwa Nsamaka ex wa Andjul. Imekuwaje tena akaangukia kwako? Mengine na nyie dada zetu mnajitakia. You like the bad boys wanaume watulivu hamtaki. Aaaargh!!!
Na kwangu kashainuka yuko kwa sammylov saiv...me naanza kuimba pambio kesho kama andjul au sijui niwe kama Cole Williams[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom