Wawili wakipendana adui hana nafasiMasikio yangu yameziba kwa mapenzi yako sisiki watu nakusikia wewe tu honey
Mzee unahaha uwanja mzima!Mzee wa kuvaa suti nyeusi hafu umevaa ndala za njano umerudi
Hahaa muulize SHIMBA YA BUYENZE akwambieAbee!namuonaga tu atakuwa wifiangu huyo
Sawa mama ring yako kesho nikumbushe maana sio kwa ahadi ile uliyonipa.Ukishanilipia tu kodi ndo utanivalisha
Weka likes pata malikeLikes
Unataka akujibu nini?Ndo umezama hata kunijibu hutaki??
Hyo kakaWeka likes pata malike
Kwani kakuambiaje?Kwani tupo wangapi?
Na wataumia kweli.Naomba tupendane wasiopenda penzi letu waumie
Na ndoa kabisa natakaSawa mama ring yako kesho nikumbushe maana sio kwa ahadi ile uliyonipa.
Unakwenda kumnyang'anya Nsamaka au hukumvisha? Au umenunua nyingine?Sawa mama ring yako kesho nikumbushe maana sio kwa ahadi ile uliyonipa.
Huyo ni dada anaitwa ISISHyo kaka
Ukisikia mtu wa batoto ndo huyo kazi kwakoMasikio yangu yameziba kwa mapenzi yako sisiki watu nakusikia wewe tu honey
Muache anyooshwe, alinicheka sana nilivyo achwa.Jana si alikuwa mpaka na mapete huyu na mabegi lukuki anahamia nyumbani kwa Nsamaka ex wa Andjul. Imekuwaje tena akaangukia kwako? Mengine na nyie dada zetu mnajitakia. You like the bad boys wanaume watulivu hamtaki. Aaaargh!!!
Bichwa lichafuuuuu uko wap hujaniambia kama nina shemela humuTunapendana sana shemeji
Aise, sikujujua. Anisameh sanaHuyo ni dada anaitwa ISIS