Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

We mwanaume umenishinda...andjul nabwaga manyanga huku[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jana si alikuwa mpaka na mapete huyu na mabegi lukuki anahamia nyumbani kwa Nsamaka ex wa Andjul. Imekuwaje tena akaangukia kwako? Mengine na nyie dada zetu mnajitakia. You like the bad boys wanaume watulivu hamtaki. Aaaargh!!!
 
Back
Top Bottom