Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Kabisa mapenzi wawili bhanaWawili wakipendana adui hana nafasi
Kabisa mapenzi wawili bhanaWawili wakipendana adui hana nafasi
Hayupo usinifiche niambie ukweliKwani kakuambiaje?
Sitaki nionekane muongo mamangu!
Lakini .....kwani ..eee hayupo karibu hapo?
Ila...Hila hapana! Mulangira kazana na irabu za Kiswahili na negative marker h- matumizi yake sahihi ni muhimu....Hila nashukuru my Queen anamuheshimu sana
Mimi ni Goddess IsisHyo kaka
Sawa kabisa hujakosea mamaAbee!namuonaga tu atakuwa wifiangu huyo
Utam kupendwa jamaniAbee!namuonaga tu atakuwa wifiangu huyo
Kuvishwa pete sio kuolewa jamani mi ndo wa halaliUnakwenda kumnyang'anya Nsamaka au hukumvisha? Au umenunua nyingine?
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Huyo ni dada anaitwa ISIS
Penda sana mke wa mieNakupenda pia mume wangu mtarajiwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji28] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unakwenda kumnyang'anya Nsamaka au hukumvisha? Au umenunua nyingine?
Aisee, nisameh sana... Na una asili ipi?View attachment 533728
Mimi ni Goddess Isis
Ulikopita kote umeteleza laazizKabisa mapenzi wawili bhana
Mama weee!Na ndoa kabisa nataka
HahahahaMama weee!
Neno hilo kazoea kulitumia
Kesho nawe utakuja unalia hapa umenyang'anywa pete anakwenda kuvishwa mwingine...and the conveyor belt keeps on rolling....Kuvishwa pete sio kuolewa jamani mi ndo wa halali