Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

2016-03-08%2013.51.02%201201368125336286305_1722162396.jpg
 
Kevin Mirallas alifunga kwa hatitriki dakika saba za kwanza katika kipindi cha pilii kabla ya kuongeza magoli mawili zaid, washambuliaji Cenk Tosun na Oumar Niasse walifunga mabao manne kila mmoja huki Ademola Lookman akifunga mabao matatu katika kipindi cha kwanza.
 
Everton walikuwa wamefunga mabao 10-0 wakati wa kipindi cha kwanza lakini wakangeza mengine 12 katika mechi ya kirafiki waliocheza siku chache baada ya wao kutua kwenye kambi ya mazoezi huko Alpine.
 
Back
Top Bottom