Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

8DE1A5B8-6F92-479F-93BF-8A74A30AF1A6.jpeg
 
Wazo la leo

Umesha wahi kusikia wapi mwanamke anaridhika!!!!!!?
Mungu mwenyewe kashindwa kumridhisha [emoji23][emoji23][emoji23]
Kampa nywele [emoji70]yeye kanunua wigi [emoji68]
Kampa kucha [emoji33]yeye kaweka zabandia[emoji41]
Kampa sura but [emoji73]yeye ana jikoboa navipodozi [emoji71]
Kampa nyusi [emoji40]yeye kaweka zakwake [emoji133]
Kampa matako [emoji317]yeye kaweka yamchina[emoji126]
Kamtengenezea midomo mizur [emoji105]yeye kageuza rangi kupitia mchina[emoji182]
Mengine marizia mwnyewe
Tusameheane 2 jamani [emoji113][emoji113][emoji113]

Leo pusha sijuhi kachanganya naugoro!!!!! [emoji54][emoji54]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Wenye macho na waone
 
Olomide, majina kamili Antoine Christophe Agbepa Mumba, alitarajiwa kuandaa burudani katika maonyesho mawili nchini Zambia mwezi huu, lakini serikali imetishia kuwa itamtia pingu pindi atakapotua taifa hilo.
Misimamo thabiti kwa wasanii wajinga wajinga, ingekuwa serikali zile zinazopenda penda hela zingempokea kwa mikono miwili ili wapige fweza kupitia yeye
 
Back
Top Bottom