Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Wenye macho na waone
 
Olomide, majina kamili Antoine Christophe Agbepa Mumba, alitarajiwa kuandaa burudani katika maonyesho mawili nchini Zambia mwezi huu, lakini serikali imetishia kuwa itamtia pingu pindi atakapotua taifa hilo.
Misimamo thabiti kwa wasanii wajinga wajinga, ingekuwa serikali zile zinazopenda penda hela zingempokea kwa mikono miwili ili wapige fweza kupitia yeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…