myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Tu nashukuru, ila nimeshtuka na ujumbe wako wa leo kuhusu neno "nakupenda" toka kinywa cha mwanamke. Ina maanisha nini?Salama Mkuu moud pwani inasemaje
Good morning my dear
HahahahaMzee wa liver kuwa makini na kauli hii
Safi sanaKumekucha, simama nyoosha miwili kidogo kisha unaanza safari kuelekea kwenye mihangaiko ya sikuView attachment 811378
Salama mkuu tunashukuru mwenye enzi mkuu kuwa salama saliminiAkisema hivyo ana maanisha nini? Vipi salama lakini mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Namtafuta King Messi,,, mbona haonekani hapo [emoji23][emoji23][emoji23]