Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kabla ya kufanyika mkutano huo wanademokrat walimuonya Trump wakimtaka awe mwangalifu dhidi ya Putin huku wengine wakisema kuwa haukuwa uamuzi mzuri kwa Rais wa Marekani kufanya mkutano wa aina hiyo kufuatia madai kuwa maafisa wa jeshi la Uruis wameshtakiwa na kuendesha vita vya mitandao dhidi ya Marekani wakati wa uchaguzi wa mwaka 2016.
 
Alisema pande zote zilifanya makosa lakini akakataa kugusia mambo kadhaa yakiwemo kuhusika kwa jeshi la Urusi nchini Ukraine na kulimega eneo la Crimea, shambulizi la kutumiwa kemikali ya Novichok kusini mwa England na kushtakiwa kwa raia wa Urusi kwa kuingilia kati uchaguzi wa Marekani.
 
Alipoulizwa ikiwa anaweza kuishutumu Urusi na Putin moja kwa moja kwa kuingailia kati uchaguzi, Bw Trump alisema maafisa wake wa ujasusi, akiwemo mkurugenzi Dan Coats wamemuambia kuwa wanafikiri kuwa ni Urusi, aliendelea kusema kuwa Putin alimwambia Urusi haukuhusika.
 
Liverpool imeulizia upatikanaji wa kipa wa Barcelona Josper Cillessen, ili achukue nafasi ya Loris Karius ambaye alizingua kwenye mechi ya fainali za UEFA Chamioni League dhidi ya Real Madrid. Cillessen ana furaha klabuni Barcelona lakini ni rahisi kuondoka maana uwezo wake unafunikwa na kipa mwingine wa timu hiyo Marc-Andre Stegen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…