Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

2018-05-24%2016.26.51%201786340568001401967_489392908.jpg
 
Mchezo kutandaza pasi au kama unavyoitwa huku mtaani kuwa ni soka la kitabuni ni aina ya mchezo unaovutia watazamaji, fainali za Russia zilikuwa na mvuto hasa kutokana pasi nyingi zilizopigwa,na hivyo Dunia kushuhudia jumla pasi sahihi, 49,651, England ikiongoza kwa kupiga pasi zenye macho 3,336. Kwa upande wa wachezaji rekodi imemwendea Sergio Ramos wa Hispania aliyepasia jumla ya pasi sahihi 485. Na mechi moja tu ya Russia na Spain ilishuhudia pasi tamu 1235 zikipigwa hapo
 
Back
Top Bottom