Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wachezaji wa timu ya Croatia wamepokewa kishujaa nchini mwao baada ya kuibuka mshindi wa pili kwenye fainali za Kombe la Dunia zilizohitimishwa juzi Jumapili kwa mchezo wao dhidi ya Ufaransa ulioisha kwa kufungwa mabao 4-2.

Mapokezi mazito waliyoyapata wachezaji wa timu hiyo utadhani timu hiyo haikufungwa kwenye mchezo wake wa fainali, jambo ambalo limewapa moyo wachezaji hao licha ya kupoteza mchezo huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…