Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

*RAIS MAGUFULI ASHINDA TUZO YA UKOMBOZI AFRIKA*

Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli ameibuka mshindi wa tuzo ya Afrika katika masuala ya uchumi.

Makamo mwenyekiti wa kamati ya tuzo ya ukombozi Afrika, Mwebesa Rwebugia ameieleza BBC kwamba rais Magufuli ameibuka mshindi kutokana na mchango wake wa kiuchumi hasaa katika ukuaji wa miundo mbinu.

Hii ni mara ya pili kwa kiongozi wa Tanzania kupata tuzo hii, baada ya Mwalimu Julius Nyerere kutuzwa pia kutokana na mchango wake wa kuleta uhuru katika nchi za Afrika.

Chanzo: *BBC SWAHILI* Rais Magufuli mshindi wa tuzo ya ukombozi Afrika
 
...
IMG-20180717-WA0001.jpg
 
Siku nitakayo kuja koromije na nilime heka nzima ndo utajua hujui[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Shikamoo shemeji[emoji120][emoji120]
Hapo pembeni kutakuwa na ambalansi za kila aina zimesubiri la kutokea litokee [emoji16][emoji16][emoji16]

Marahaba kabisa. Marahaba zimekuwa za kubahatisha sana hapa siku hizi. This gonna be a good day wallahi money loves me today [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Back
Top Bottom