Hahahha! Hatari kabisa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Tena ni zaidi ya hatariHahahha! Hatari kabisa
kimdabuo ndo nnHeri kukosa uji kuliko kimdabuo
There is no way out bro. Komaa !!!I WANT OUT
Kwa kweli yaan hapo katafuna akina andjul,shimba,kijana mpole,ninge,jiran,moud,kk,mzee wa liver na wengineo wa mbelen daaah kaua uzi wetu wa likes miaka 20 ijayo shuainiii zakeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huu umero/uroho umepitiliza akiii tena
Yaani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kheri nibaki na ukilaza wangu tu kwakweli
Mnazungumzia ishu gani???Kwa kweli yaan hapo katafuna akina andjul,shimba,kijana mpole,ninge,jiran,moud,kk,mzee wa liver na wengineo wa mbelen daaah kaua uzi wetu wa likes miaka 20 ijayo shuainiii zakeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aisee,, kwa hyo katafuna wakiume tu [emoji23][emoji23][emoji23]Kwa kweli yaan hapo katafuna akina andjul,shimba,kijana mpole,ninge,jiran,moud,kk,mzee wa liver na wengineo wa mbelen daaah kaua uzi wetu wa likes miaka 20 ijayo shuainiii zakeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Heri kumnyima jirani anayetusimanga kisa ujiiii
Mie geni maeneo haya ati kuna mdada huko anameza uji wa kutosha kuwa jiniasiMnazungumzia ishu gani???
Faida ya UJI yathibitishwa.View attachment 812018
Uji huu huu wa mchele mweupe au uji ganiMie geni maeneo haya ati kuna mdada huko anameza uji wa kutosha kuwa jiniasi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eee akina carba,ledada,kito,pyaar wajanja sana walibaki ndan ndan baada ya kumshtukia mroho wa uji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aisee,, kwa hyo katafuna wakiume tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Duh !!!Kwa kweli yaan hapo katafuna akina andjul,shimba,kijana mpole,ninge,jiran,moud,kk,mzee wa liver na wengineo wa mbelen daaah kaua uzi wetu wa likes miaka 20 ijayo shuainiii zakeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mzitoooo,moto moto,mweupe aaah [emoji124] wa mtama bana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naona leo humu key word ni UJI! Hivi mnazungumzia uji gani, wa ulezi?
We na shogako dah!Heri kukosa uji kuliko kimdabuo