Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Mzitoooo,moto moto,mweupe aaah [emoji124] wa mtama bana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huo huo asalaleeee hivyo vimchele vinajaza tumboo hivyoUji huu huu wa mchele mweupe au uji gani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We na shogako dah!
Basi tu [emoji16][emoji16][emoji16]
Eee dawa ya chunusi hasa zile sungwi zilizotuna uson uji kiboko yake,dawa ya kuvimbesha tumbo wacha weeeMmh, unaupenda?
Eee dawa ya chunusi hasa zile sungwi zilizotuna uson uji kiboko yake,dawa ya kuvimbesha tumbo wacha weee
Makofi ya pwaaa pywaaa hiiiiiiiiiiiikimdabuo ndo nn
Aiseee uji mpaka chunusi zinapoteaEee dawa ya chunusi hasa zile sungwi zilizotuna uson uji kiboko yake,dawa ya kuvimbesha tumbo wacha weee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eee akina carba,ledada,kito,pyaar wajanja sana walibaki ndan ndan baada ya kumshtukia mroho wa uji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ooooh waoow our pyaar is great madam,chachawa pwangarakatikaparangotoyeyeyyeyeyeyey(chombo cha udongo kinavunjikaga hivyo)[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nije nikukorogee, mi mtaalamu wa kuutengeneza! [emoji1][emoji1]
AiseeeAiyaa iyaa kuolewa utasahu night dress
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]lugha yako ipo vizuri ina misamiati,nahau,misemo bila kusahau misimu ya kila ainaAiseee uji mpaka chunusi zinapotea
Yaani lugha yangu imekuwa changa moto humu mmechangia poromosha lugha yangu.