Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Ni safari yangu ya kwanza kwenda Sumbawanga kwa basi. Ni barabara nzuri ya lami ambayo kwa kweli imefungua fursa kwa wananchi wa mikoa ya Songwe na Rukwa.
Wananchi wa huko sasa wanaweza kufungua biashara katika vijiji mbalimbali kutokana na ukweli kwamba magari ya kwenda na kurudi ni mengi.
Wananchi wa huko sasa wanaweza kufungua biashara katika vijiji mbalimbali kutokana na ukweli kwamba magari ya kwenda na kurudi ni mengi.