Watu wengi walitoka kwenye basi wakiwa na takataka za kila aina na kuzitupa maeneo mbalimbali wakati wengine wakienda haja ndogo na kubwa.
Tabia hii ilishakoma katika mikoa ya Morogoro, Iringa, Mbeya, Njombe, Tanga , Dodoma na hata Arusha, lakini sina hakika kwa mikoa ya Kigoma, Katavi, Tabora, Kagera Mtwara, Lindi Simiyu.