Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Asante kwa orodha ya vitabu mkuu. Miaka ya 70 na 80 kilikuwa kipindi chenye afya sana katika fasihi ya Kiswahili. Sasa mambo yamehamia Kenya ambako kiwango cha usomaji wa vitabu angalau kina unafuu kidogo.Habari Wakuu
Ni Ben Mtobwa ama?
Keshasahau kuwa mwenyewe juzi juzi tu hapa alikaribia kwenda huko huko?
Waandishi wapo wengi tu. Shida ni wasomaji wa kazi zao. Vitu hivi huenda pamoja.Ben R. Mtobwa
Hata nipewe week kumuelezea huyu mwandishi haitoshi
watanzania bado tuna kiu sana ya kupata waandishi bora kama hawa
ndio maana kila siku tunamuimba Shaaban Robert na wenzake wachache
nani atatukata hii kiu???
Yaani, acha kabisa.Keshasahau kuwa mwenyewe juzi juzi tu hapa alikaribia kwenda huko huko?
View attachment 812374
Habari ya mwamko?Ngole
Waandishi wapo wengi tu. Shida ni wasomaji wa kazi zao. Vitu hivi huenda pamoja.
Tafiti zimeshaonyesha kuwa usomaji wa vitabu umeporomoka sana kwa Tanzania. Riwaya pendwa za kipelelezi za akina Musiba, Katalambula, Mtobwa na waandishi wengineo zilivutia wasomaji wengi katika miaka ya 80 na kipindi hicho kinatambuliwa leo kuwa kipindi bora kabisa katika fasihi ya Kiswahili. Leo hii mpaka ubahatishe kitabu chako kiingizwe katika mitaala ya shule. Watu hawaoni sababu ya kuingia gharama kuchapisha kitabu wakati mauzo yake ni hasara tupu.wasomaji wapo mkuu
mbona Shaaban na Ben walisomwa sana na watanzania hawa hawa?
Ipo shida mahali
Mungu Ametujalia anaza dei kwenye hichi kisayari chake kizuri. TUMSHUKURU [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Habari ya mwamko?
Hakika ni jambo la kumshukuru MunguMungu Ametujalia anaza dei. TUMSHUKURU [emoji1545][emoji1545][emoji1545]