Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuniita kuja kumuona dada alivyopendeza utafikiri hana mtoto? Ndiyo ni kunivunjia heshima. I know my sis is naturally gorgeous. What is your point? Geez [emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]
Hahahahaa point ujue kuwa natunza maana huishi kunisema. Ooh unamfungia ndani oooh vimepanda vimeshuka. Leo kaja huna hata raha kunikoromea tu
 
428923133_238465.jpg
 
Mchana mwema wapendwa. Baadaye...

Shemeji Unique. Asante kwa kumtunza sis. Kweli anapendeza. Malizia kulipa mahari tu ili uwe huru kabisa kabisa [emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
Hahahah na nyanyaswa kwa kweli. Hivi kila shemeji ni kama huyu nilie nae??
 
Back
Top Bottom