Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mpaka utoe mahari. Vinginevyo utapata taabu sana wallahi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Naona Kaka yako kawa mkali bila sababu.
Hahahahaa point ujue kuwa natunza maana huishi kunisema. Ooh unamfungia ndani oooh vimepanda vimeshuka. Leo kaja huna hata raha kunikoromea tuKuniita kuja kumuona dada alivyopendeza utafikiri hana mtoto? Ndiyo ni kunivunjia heshima. I know my sis is naturally gorgeous. What is your point? Geez [emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]
Hahah!!! Shida nini!????Naona Kaka yako kawa mkali bila sababu.
Naona kachukia wewe kuja humuHahah!!! Shida nini!????
Maisha yako yatakuwa magumu mpaka utakapotoa mahari KWA UKAMILIFU. Huwa sichoki kudai mahari. Hilo nakuhakikishia !!!Hahahahaa point ujue kuwa natunza maana huishi kunisema. Ooh unamfungia ndani oooh vimepanda vimeshuka. Leo kaja huna hata raka kunikoromea tu
Naona mmeishiwa huko kwenu njoo uchukue zizi lote nitaanza upyaMaisha yako yatakuwa magumu mpaka utakapotoa mahari KWA UKAMILIFU. Huwa sichoki kudai mahari. Hilo nakuhakikishia !!!
Hahahah na nyanyaswa kwa kweli. Hivi kila shemeji ni kama huyu nilie nae??Mchana mwema wapendwa. Baadaye...
Shemeji Unique. Asante kwa kumtunza sis. Kweli anapendeza. Malizia kulipa mahari tu ili uwe huru kabisa kabisa [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
Ile haijatosha kaka??[emoji54][emoji54][emoji54][emoji6]Mpaka utoe mahari. Vinginevyo utapata taabu sana wallahi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hahahah, haijatosha..!??Source kubwa ni mahari.
Anajifanya hajui
Byee!! Baadaye!!!Mchana mwema wapendwa. Baadaye...
Shemeji Unique. Asante kwa kumtunza sis. Kweli anapendeza. Malizia kulipa mahari tu ili uwe huru kabisa kabisa [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
[emoji23][emoji23][emoji23], naona wataka kufanya hasira za mkizi.Naona mmeishiwa huko kwenu njoo uchukue zizi lote nitaanza upya