Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"


One awe, inumbu imemele? Enijenda mno jinumbu jimemele! [emoji1][emoji1]
 
Hahaha
Acha maswali bhna,,Hahah mm hayo siyajui huwa nasikia tu nikiwa sehemu sehumu wazee wa mambo hayo wakiwa wanasifia mwanamke wa namna ile akipita

Halafu hicho kilugha umeniacha bhna,,, em nyooooka mwalimu wangu

Hahahha kumbe kunakuingia Hahahha aisee
 
Jibu lako kuhusu utamu linapatikana baada ya kujibu swali langu.
 
Michirizi husabishwa na kutanuka kwa ngozi na ndio maana wanene wengi wanakuwa nayo, vilevile baadhi ya wanawake hupata michirizi wakiwa wajawazito, na wakijifungua yaweza endelea kuwepo ama ikapungua..
Ni wembamba wachache sana wenye michirizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…