Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

.
FB_IMG_1531932375321.jpg
 
Haya naamini ni masuala ya kisaikolojia zaidi bro. Kama unavutiwa na michirizi hiyo (cellulite) na binti akawa nayo bila shaka utakuwa na hisia naye zaidi. Na ubongo ulivyo mjanja haukawii kukusikilizisha utamu usio wa kawaida kumbe ni zile hisia na mzuka tu ulioupata baada ya kuona hiyo michirizi.

Kwa wazungu huko michirizi hiyo haipendwi na kuna madawa ya kila aina ya kuiondosha kuanzia lasers, lotion n.k. Ni dalili kuwa ngozi imeanza kuchoka.

Ila ni kweli. Kuna wanawake watamu tu nachulale. Yaani ukimbahatisha hutakaa umsahau maishani mwako. [emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
Nmekupata bro,, sema mtaani hzo tafsiri nia adimu wengi wanadai kuwa ndo watamu,,tena kuna wengine ni mabinti sana
 
Back
Top Bottom