Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Haya naamini ni masuala ya kisaikolojia zaidi bro. Kama unavutiwa na michirizi hiyo (cellulite) na binti akawa nayo bila shaka utakuwa na hisia naye zaidi. Na ubongo ulivyo mjanja haukawii kukusikilizisha utamu usio wa kawaida kumbe ni zile hisia na mzuka tu ulioupata baada ya kuona hiyo michirizi.

Kwa wazungu huko michirizi hiyo haipendwi na kuna madawa ya kila aina ya kuiondosha kuanzia lasers, lotion n.k. Ni dalili kuwa ngozi imeanza kuchoka.

Ila ni kweli. Kuna wanawake watamu tu nachulale. Yaani ukimbahatisha hutakaa umsahau maishani mwako. [emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
 
Mkuu huyu mdada ni jirani yako au mnaishi naye nyumba moja hapo kongowe mzinga?[emoji3] [emoji3] [emoji3] maana natamani nije nimwamkie[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Mali ya Madiba hii. Ni mjasiriamali. Anashona na kuuza nguo hizi yeye mwenyewe. Baada ya muvi ya Black Panther kumekuwa na mvuvumko sana hasa kutoka kwa watu weusi na sasa anauza nguo hizi hata Marekani ambako zimeanza kukubalika hasa kwa watu weusi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…