Kusini kwa MadibaWapi hiyo ni magharibi au mashariki mwa Afrika?
Mambo ya kono kono yanahusika[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
SawaThe King of Zemunda
View attachment 812585
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tuition ya pyaar imeanza kutoa matunda. Nimeanza kukitafuna kama yeye! [emoji23][emoji23]
Punguza hasira mtoto[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125]
Ebwanaeee, mambo ni juu kwa juu
Shukrani maadam,, nmekupataMichirizi husabishwa na kutanuka kwa ngozi na ndio maana wanene wengi wanakuwa nayo, vilevile baadhi ya wanawake hupata michirizi wakiwa wajawazito, na wakijifungua yaweza endelea kuwepo ama ikapungua..
Ni wembamba wachache sana wenye michirizi.
Mambo ni kinyume chake[emoji3] [emoji3] [emoji3]Hawa wachungaji wa siku hizi majanga tu. Yesu alilisha watu alfu tano kwa mikate miwili na samaki watatu eti siku hizi waumini alfu tano wanamlisha mchungaji mmoja
Naomba hizo tofautiShukrani maadam,, nmekupata
Mtaelewa tu[emoji3] [emoji3] [emoji3]Hivi madiwani siku hizi wanateuliwa au wanachaguliwa?
View attachment 812641
Nmekupata bro,, sema mtaani hzo tafsiri nia adimu wengi wanadai kuwa ndo watamu,,tena kuna wengine ni mabinti sanaHaya naamini ni masuala ya kisaikolojia zaidi bro. Kama unavutiwa na michirizi hiyo (cellulite) na binti akawa nayo bila shaka utakuwa na hisia naye zaidi. Na ubongo ulivyo mjanja haukawii kukusikilizisha utamu usio wa kawaida kumbe ni zile hisia na mzuka tu ulioupata baada ya kuona hiyo michirizi.
Kwa wazungu huko michirizi hiyo haipendwi na kuna madawa ya kila aina ya kuiondosha kuanzia lasers, lotion n.k. Ni dalili kuwa ngozi imeanza kuchoka.
Ila ni kweli. Kuna wanawake watamu tu nachulale. Yaani ukimbahatisha hutakaa umsahau maishani mwako. [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
ZipoZiko wapi?