Haina shida Pyaar,, utazipata tuNaomba hizo tofauti
Labda umkute tu na utamu wake, lakini sio sababu eti michirizi..Nmekupata bro,, sema mtaani hzo tafsiri nia adimu wengi wanadai kuwa ndo watamu,,tena kuna wengine ni mabinti sana
Inaonekana kuna ukweli (kiaminiwacho na jamii huwa kweli). Miye pia naipenda sana. Majimama [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]Nmekupata bro,, sema mtaani hzo tafsiri nia adimu wengi wanadai kuwa ndo watamu,,tena kuna wengine ni mabinti sana
Mwalimu kwenye ubora wake,,, naona bado unakaziaLabda umkute tu na utamu wake, lakini sio sababu ya michirizi.
Nakuweka sawa uelewe...Mwalimu kwenye ubora wake,,, naona bado unakazia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Inaonekana kuna ukweli. Miye pia naipenda sana. Majimama [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Duh! Hilo jicho la kuona hapo.
Mwalimu. Kwa nini unatumia nguvu nyingi sana kupinga hili jambo?Labda umkute tu na utamu wake, lakini sio sababu eti michirizi..
Hakuna kitu. Ni kuyajulia tu bro. Hayana shida kabisaaa. Jaribu utanipa mrejesho[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukipenda majimama lazima uwe una body flan hv,,
Ukiwa huna body na uko mwembamba basi uwe na fenesi la kutosha[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Sawa...nyie walaji ndo mwajua.Mwalimu. Kwa nini unatumia nguvu nyingi sana kupinga hili jambo?
Kuna kitu mahali mpaka hiyo michirizi ikabatizwa michirizi ya utamu. Watu siyo wajinga ati !!!
Saidia fundi[emoji23]
Kaka moud habari yako?Zipo