Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Endelea kusikiza ushauri wa kakako ukakufwe[emoji23][emoji23][emoji23]mwenzio kazoea magari makubwa[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]View attachment 812813
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nani anapenda kujifia sasa, hayo mafiati anayaweza bro wangu tu
Mimi na vimbaumbau ni damu damu milele
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nani anapenda kujifia sasa, hayo mafiati anayaweza bro wangu tu
Mimi na vimbaumbau ni damu damu milele
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]ewaaaaaaa mizigo mizito waachie wenyewe,usije faint bure[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kwema?

 
Linapokuja suala na kuibia kwenye mitihani watu ni hatari,hapo kakesha usiku mzima anaandika muongozo[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mtihani huwa hauna mwenyew carba, hata kama ukikesha na bado kuna vtu vtakuona tu,,, halafu unakuta mwenye somo ni mtata,, lazma utumie maarifa mengine
 
Ngoja wazee wa mizigo mizito waje upate shuaani zako za kutosha kwa kupenda mifupa mitupu[emoji23][emoji23][emoji23]


Mimi niko poa sana nashukuru
Sipati picha bro wangu Shimba atakavyo tamka ile Jizazi (in kolomije's voice) [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Tumshukuru Mungu carba,, wote tu Wazma wa afya tele!!
Mambo mengine fresh lkn
 
Mkuu utamu wa mwanamke hataujua mwanamke mwenyewe[emoji3] [emoji3] [emoji3] utamu mwanamke twaujua sisis[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…