Mlete Bariadi tule naye mlenda wetu pendwa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mali ya Madiba hii. Ni mjasiriamali. Anashona na kuuza nguo hizi yeye mwenyewe. Baada ya muvi ya Black Panther kumekuwa na mvuvumko sana hasa kutoka kwa watu weusi na sasa anauza nguo hizi hata Marekani ambako zimeanza kukubalika hasa kwa watu weusi.
Ok, usimuache mwenyewe huko[emoji3] [emoji3] [emoji3] lazima afike koromijeKusini kwa Madiba
Mara nyingi ukiwa mwembamba kisha mrefu fenesi linahusika. Na ukiwa na fenesi mjimama lazima aombe pooo[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukipenda majimama lazima uwe una body flan hv,,
Ukiwa huna body na uko mwembamba basi uwe na fenesi la kutosha[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Kwakifupi baadhi ya watu huwasisimu,[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] ni kama ulivyosema kabla. Hatufanani. Ukisema kibaya watu hukisaka kama kilivyoMwalimu. Kwa nini unatumia nguvu nyingi sana kupinga hili jambo?
Kuna kitu mahali mpaka hiyo michirizi ikabatizwa michirizi ya utamu. Watu siyo wajinga ati !!!
Hayo ndiyo maneno mkuuSawa...nyie walaji ndo mwajua.
Ledada miss youKaka moud habari yako?
HATUPOU[emoji3]Noma sana [emoji3]
Na aje tu, namba iko wazi kwa ajili yakeKlabu ya Liverpool imekubali kumsajili Kipa wa Roma, Alisson kwa dau la Pauni 67 milioni.
Uongozi wa Liverpool umejisalimisha kulipa Pauni 58 milioni kisha baadaye watalipa Pauni 9 milioni baada ya kukamilisha mkataba huo.
Mpaka sasa haijafahamika ni lini Alisson atatua Liverpool kwa ajili ya vipimo.
Bariadi ya Bagamoyo au Bariadi ya Simiyu?Mlete Bariadi tule naye mlenda wetu pendwa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Word [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Mkuu utamu wa mwanamke hataujua mwanamke mwenyewe[emoji3] [emoji3] [emoji3] utamu mwanamke twaujua sisis[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
If he dies he dies....Endelea kusikiza ushauri wa kakako ukakufwe[emoji23][emoji23][emoji23]mwenzio kazoea magari makubwa[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]View attachment 812813
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani ukija na yeye masikini ndiyo anajitokeza. Huwa unamchunga au inakuwaje? Hawezi kuja kwenye uzi peke yake bila ya wewe kuwepo? Ni fyekero? [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
Bro. Sema nikupe codes ukajaribu halafu unipe mrejesho...magari makubwa haya injini zake huwa hazipati moto haraka ila zikichemka zinachemka sawasawa na zinachukua muda mrefu kupoa. Ukishajua jinsi ya kupasha moto injini na jinsi ya kuzipoza basi ushashinda. Utakuwa unatafutwa hata ukiwa kwenye mkutano utachoropolewa ukasaidie kupandisha na kupoza moto wa injini.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nani anapenda kujifia sasa, hayo mafiati anayaweza bro wangu tu
Mimi na vimbaumbau ni damu damu milele
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Kwenye haya mambo bro ni kila mtu na lwake. Faudu kivyako vyako bro...Sipati picha bro wangu Shimba atakavyo tamka ile Jizazi (in kolomije's voice) [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tumshukuru Mungu carba,, wote tu Wazma wa afya tele!!
Mambo mengine fresh lkn