Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Tatizo walilo naloni kubwaYanga wana tatizo gani?
View attachment 812887
Bagamoyo hatuna Bariadi, ile ile ya Simiyu[emoji3] [emoji3] [emoji3]Bariadi ya Bagamoyo au Bariadi ya Simiyu?
Walikuwa wanawaza hela zao walizodhulumiwa[emoji3] [emoji3] jinsi vyuma vilivyopata kutu hivi halafu unaleta dhulma ushindi utaupata wapi!?[emoji3] [emoji3] [emoji3] we acha tuMasikini yanga kama hawakuwepo uwanjani vile
Swaafi,Hey salama humu ndani?
Si tupo mkuuTangu niwaage mwaka jana leo ndio nimetia team .
Wasubiri wadau wakumwagie likes zakoHaya nipeni likes 100 za chapu chapu.
[emoji3] [emoji3]Muongozo wa mh spika,hawa watu noma[emoji23][emoji23]
Heeeee[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Mara nyingi ukiwa mwembamba kisha mrefu fenesi linahusika. Na ukiwa na fenesi mjimama lazima aombe pooo[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]