carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
If he dies he dies....
Magari makubwa rahisi sana kuendesha. Gia moja tu unakwenda nalo kilomita kibao. Nyie hamjui tu
Bro. Sema nikupe codes ukajaribu halafu unipe mrejesho...magari makubwa haya injini zake huwa hazipati moto haraka ila zikichemka zinachemka sawasawa na zinachukua muda mrefu kupoa. Ukishajua jinsi ya kupasha moto injini na jinsi ya kuzipoza basi ushashinda. Utakuwa unatafutwa hata ukiwa kwenye mkutano utachoropolewa ukasaidie kupandisha na kupoza moto wa injini.
Ala ala mti na jicho dada[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Heeeee[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ala ala mti na jicho dada[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Wanakufa kweli. Kuna cases kibaoMambo mengine ya kujitakia,jikubali tu kwani ukiwa flatscreen unakufwaaa??[emoji19][emoji19][emoji19][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Mwanamke afariki baada ya kuchomwa sindano ya kuongeza makalio, daktari atoroka
Daktari wa ubadilishaji viungo anayefahamika kwa jina la Dokta Bumbum ametoroka baada ya kusababisha kifo cha mwanamke mmoja aliyemchoma sindano kwa ajili ya kukuza makalio.
Vifo vingine sijui niseme ni vya kujitakia,kweli wapo wanaokufa kuna ile imetokea miezi michache tu iliyopita hapo kenya yule mama aliyekufa akiongeza matiti.Wanakufa kweli. Kuna cases kibao
Eti kuridhisha wanaume utafikiri wanaume wanaridhikaga. Sad !!!Mambo mengine ya kujitakia,jikubali tu kwani ukiwa flatscreen unakufwaaa??[emoji19][emoji19][emoji19][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Mwanamke afariki baada ya kuchomwa sindano ya kuongeza makalio, daktari atoroka
Daktari wa ubadilishaji viungo anayefahamika kwa jina la Dokta Bumbum ametoroka baada ya kusababisha kifo cha mwanamke mmoja aliyemchoma sindano kwa ajili ya kukuza makalio.
Wanaume hawa/hamridhiki si kwa maisha ya sasa wala ya baadae.[emoji19][emoji19]na wanawake ndo wana/tunazidi kupata shida kuhangaika na nyieEti kuridhisha wanaume utafikiri wanaume wanaridhikaga. Sad !!!View attachment 812943