[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bro. Sema nikupe codes ukajaribu halafu unipe mrejesho...magari makubwa haya injini zake huwa hazipati moto haraka ila zikichemka zinachemka sawasawa na zinachukua muda mrefu kupoa. Ukishajua jinsi ya kupasha moto injini na jinsi ya kuzipoza basi ushashinda. Utakuwa unatafutwa hata ukiwa kwenye mkutano utachoropolewa ukasaidie kupandisha na kupoza moto wa injini.
Hahahaha, huyo bwana labda ni mchungaji [emoji23][emoji23]maanaWatu hawataki kutumikia mabwana wawili kwa wakati mmoja.
[emoji818] [emoji818] [emoji818]Kupeleka matatizo yako kwa watu wengine kama ndugu na marafiki zako kunaweza kuongeza ukubwa wa tatizo katika ndoa au uhusiano wako. Wakati mwingine unaweza kudhani kuwa watu hawana matatizo katika mahusiano yao, lakini ukweli nikuwa wakikutana na changamoto yoyote huongea wao kwanza kabla ya kuanza kulalamika kwa ndugu au marafiki. Kulalamika lalamika kuhusu matatizo ya uhisiano wako, kunafanya kutengeneza picha mbaya, ndugu au marafiki zako wanaweza kumchukia mwenza wako na hivyo kuingilia uhusiano wenu kwa kutoa ushauri mbaya au hata kwa kumdharau na kumdhalilisha mwenza wako. Chukua tahadhari.
NYUMBA NDOGO
Hii ni sana sana kwa wanaume. Mwanaume ameoa kisha anatafuta mwanamke wa nje na anamfanyia kila kitu hata zaidi ya mkewe.
Anamjengea nyumba, kama ni kodi anamlipia na mahitaji mengine yote muhimu ambayo yatamridhisha kwa kujua tu, hata yeye anapata kile atakacho.
Nikuulize wewe mwanamume, uliye naye nyumbani hakutoshi hadi ukimbizane na wanawake wa nje.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
KweliMtu akitaka kubadili hali yake (ya uchumi, mahusiano, kazi n.k) anapaswa kudhibiti yote anayoyaona au kusikia juu ya hali yake ya sasa, pamoja na hayo anahohubiriwa na mazingira yanayomzunguka.
Ni lazima kuchuja kile kinachoingia akilini kupitia milango ya fahamu. Chujio lako liruhusu mawazo chanya tu! Mawazo chanya (furaha, upendo, ushirikiano n.k) ni mbolea/mtaji katika jihada za binadamu za kujiletea maendeleo.
HellowKweli
Cha kwangu chake,, ila cha kwake ni chake peke yake!!! AiseeUBINAFSI NDANI YA NDOA
Mambo kama haya ya nini ndani ya ndoa? Tayari mmeshakuwa kitu kimoja, ubinafsi unakujaje.
Kumekuwa na tabia hii hasa kwa wanawake. Ni kweli hata wanaume wengi wamekuwa wakilalamika wanawake wao ni wabinafsi. Wamekuwa na tabia za kuficha pesa zao. Kwa mfano, pesa anazopata kwa mume wake, anaficha kisha anakwenda kujenga kwao.
Daaah aiseeeee
Yaan bro ako ni shidaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bro una expiriensi za kutosha aisee
Heh!!
Yaan bro ako ni shidaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bro una expiriensi za kutosha aisee
Mambo shiroKasmart habari yako?
Mambo numbisaHellow
View attachment 813032
Poti acha mitego bana! [emoji1][emoji1]