ledada
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 17,468
- 67,492
Usinjali nitawambia wewe ni mzee wangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eeh kule mall tutaenda,,ila wale wahudumu uwambie mapema mm sio mtt [emoji23]
Usinjali nitawambia wewe ni mzee wangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eeh kule mall tutaenda,,ila wale wahudumu uwambie mapema mm sio mtt [emoji23]
Muzima kabisa Ninge [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]poa kabsa kitoo,,u mzima ww?
Huyu mzee amekumbukwa leo kuna nini? Siredi zake zilikuwa matata sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sanaaHuyu mzee amekumbukwa leo kuna nini? Siredi zake zilikuwa matata sana
Bagamoyo hatuna Bariadi, ile ile ya Simiyu[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Watu wengi wanapatiwa huduma kinyume na ueledi, na watu wanavutiwa kwa sababu ya gharama ndogo, bila kujali kuwa afya zao ni muhimu zaidi
Daktari huyo amewavutia wengi akiwa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii.
Mbali na kuwa Instagram ana anuani kwenye mtandao wa Facebook ukurasa wake akiwa ameujaza kwa picha zinazoonyesha makalio ya wanawake kabla na baaa ya upasuaji.Huku kwenye Youtube akitoa ushauri kuhusu mpangilio wa chakula na maradhi yanayohusiana na uzazi.
Daktari huyo alieleza mtandaoni kuwa jina la dokta Bumbum alipewa na wateja wake akionyesha kuvutiwa nalo.Jina ambalo amekuwa akilitumia mtandaoni akitoa mafunzo.
Enzi hizo muda kama huu daddy alikua hajalala baasi ni ile daddy kalaleee utaumwa usingiziiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]