Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mtu ukikosa uzi huu kwa siku mbili tu unakuwa umepishana na maneno ya busara na yenye kujenga kwa kiasi kikubwa sana.
[emoji124] [emoji124] Ukute msukuma kajiandikia tu, wengine tuna faidika huku.

Maisha marefu shemeji (japo shemeji haupimiki baada ya kuuona mgogoro wako na uniq)[emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
ASANTE shemeji. Uniq mi sina mgogoro naye. Tena keshasema atamalizia deni la ng'ombe watano waliobaki. Akifanya hivyo hatanisikia tena. Vinginevyo atapata taabu sana na atasoma kwa shida mno [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Eti mnapiga bila lomansi mkimaliza menopause hiyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nyie ni noma.

Huo uzi bidada anamkaribisha rafiki yake ke wa jf hajawah fika dar ndo anajibiwa hivyo
Lomansi ni kupoteza muda shemeji. Lomansi kwani tunacheza pono? Konokono anapigwa akiwa mkavu hivyo hivyo kama ni kujilainisha atajiongeza mwenyewe. Uzuri ni kwamba mara nyingi hata akianza kupigwa akiwa mkavu baadaye utamkuta ameadapti kiasi kwamba mbali na kujitelezesha mwenyewe kwa raha zake na kujiimbia vinyimbo vyake vya zipompapo na misonyo ya kila aina unakuta na mimaji kabisa anajitapisha. Abarikiwe aliyemuunda konokono kwa ustadi wa kushangaza na maajabu yale ya kutisha !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…