myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
LIKES ZA ALASIRI
LIKES ZA ALASIRI[/QUOTE]
Ha wa yuu babu?[emoji12][emoji12]Carbaaaa[emoji137] [emoji137] [emoji12] [emoji12] [emoji8]
Uko peke yako [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mabilionea wa badae tuko wangap? Humu
Hili andiko limenibariki mnoo[emoji120][emoji120][emoji120][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji91][emoji621]️[emoji91][emoji621]️[emoji91][emoji621]️[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
[emoji253] POWER OF NATURE[emoji259]
Kama maisha yanaweza kumwondoa mtu katika maisha yako ambaye hukutegemea atakuja kuondoka kwa wakati alioondoka na ukalia sana,basi vivyo hivyo maisha yanaweza kukuletea/kukukutanisha na mtu ambaye hujawahi kuota/kutegemea kuwa naye katika maisha yako na ukalaumu kwa nini hukukutana naye mapema.
[emoji184] Kuelewa ni zaidi ya kufahamu, kuna watu wengi sana wanakufahamu lakini ni watu wachache sana wanakuelewa kiasi kwamba hata ukivaa uso wa tabasamu wakikuangalia tu watakwambia "leo haupo sawa".
[emoji257]Siku zote usipambane na matatizo yako pambana na akili yako, akili ikikaa sawa matatizo ya yatajisuluhisha yenyewe.
[emoji276]Kuna sababu kuu mbili za kwa nini hatuwaamini watu.
1. Hatuwafahamu vizuri.
2. Tunawafahamu vizuri.
[emoji286] KANUNI TATU MUHIMU
1. Mungu anakupenda
2. Mungu anakupigania
3. Ukipata tatizo lolote, soma tena namba 1 & 2.
[emoji7]Je inahitaji kukutana na mtu ambaye anaweza kuyabadilisha maisha yako? Rahisi sana, kajiangalie kwenye kioo, huyo ndiye
[emoji8]Sio kila wakati watu wanahitaji ushauri, wakati mwingine mtu anahitaji mkono mzuri wa kumshika, masikio masikivu ya kumsikiliza na moyo makini wa kumwelewa na tatizo linakuwa limekwisha.
[emoji94] Leo wote tumeamka vitandani mwetu sio hospitali, sio gerezani, sio mtaroni na wala sio jalalani,
Mwambie Mungu asante kwa kuniamsha uliponiamsha.
[emoji264] Pesa zinasema nitafute na usahau kila kitu.
Muda unasema nifuate na usahau kila kitu.
Future yako inasema nihangaikie na usahau kila kitu.
Mungu anasema nikumbuke na nitakupa KILA KITU.
[emoji123] Usijidharau, jiamini unao uwezo wa kufanya zaidi ya unavyofikiria.
[emoji188]Tunatakiwa tuumie ili tujifunze.
Tuanguke ili tukue,tupoteze ili tupate sababu tunajifunza mengi sana katika maisha kwa maumivu.
[emoji39] KANUNI ZA KUISHI VIZURI.
1. Cheka kwa sauti sana kiasi kwamba huzuni ikikuangalia itabasamu.
2. Pambana kwa nguvu zako zote kiasi kwamba matatizo yakubali kushindwa yenyewe.
3. Penda kwa uaminifu wote kiasi kwamba chuki ikikuona inatoka mbio.
4. Ishi maisha ya kupendeza kiasi kwamba hata kifo chenyewe kitamani kukuona unaendelea kuishi.
[emoji4] Usimtegemee sana mtu kwenye dunia hii maana hata kivuli chako huwa kinakuacha kukiwa na giza.
[emoji177] Mioyo yetu ni wanyama wakali sana.
Ndio maana imezungushiwa mbavu.
[emoji120]Mungu anakupenda jinsi ulivyo
Na anakupenda zaidi kukuacha jinsi ulivyo.
Goodmorning#Feliciana2018
Njema mkuu mambo vipi, vipi baridi mida hiSAFI. ZAKWAKO MKUU
Aisee. Hivi bado kajificha ubalozi wa Finland huyu jamaa?
Kwema mkuu, mkuu fanya tukune pale kwenye zile hash...a za mbuzi tukumbuke miaka ileeeee[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Salama kabisa mzee wa pwani. Kwema huko?
Asante Shem. Hata mimi nimelipenda sana. TUMSHUKURU MUNGU [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Hili andiko limenibariki mnoo[emoji120][emoji120][emoji120]
Linafikirisha sana
Asalaam Alyekum, habari za jioni dadaShemeji[emoji119][emoji119][emoji119]
Asante Shem. Hata mimi nimelipenda sana. TUMSHUKURU MUNGU [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Waleykum salaam kakae,salama kabisaAsalaam Alyekum, habari za jioni dada
DahJf imenishinda kwakweli[emoji119][emoji119][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 813331
Alikuwa amezoea gemu za wala chips na mahindi ya ndimu nini? Welokamu tu Koromije wallahi whea wi dea to toko wisi yu openili abauti lomansi endi seksi...Jf imenishinda kwakweli[emoji119][emoji119][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 813331
Mkuu, kifungo cha maisha kinachoambatana na kujilisha mwenyewe, kujinunulia sare na mahali pa kulala ukiwa gerezani. Kaa mbali sana na vitotoTujitahidi watoto wa kike kuwavalisha nguo ambazo haziwabani miili yao... View attachment 813296