Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,784
- 45,268
Kujiongeza ni muhimu sana.Siku hizi manabii wamekuwa wengi, hivyo ni vyema muda mwingine kujiongeza mwenyewe.
Kujiongeza ni muhimu sana.Siku hizi manabii wamekuwa wengi, hivyo ni vyema muda mwingine kujiongeza mwenyewe.
Kilomita 32 kwa usiku mzima?Mmiliki wa Kampuni moja nchini Marekani amempatia mfanyakazi wake gari mpya baada ya kutembea kwa miguu umbali wa kilomita 32, ambaye alitembea umbali huo usiku mzima akienda kazini
Chanzo: bbc swahil
View attachment 813255
Mkuu kwema?Hahaha nitafanyaje mliniona dogonkwa Babe S mpaka le mnamuita shemeji kasoro SYB
Salama kabisa mzee wa pwani. Kwema huko?Mkuu habari yako
[emoji124] [emoji124] Sasa sijui wanachoshwa na nani hii ya mchungaji?!!!
Hahahaha!! Waghona?[emoji124] [emoji124] Sasa sijui wanachoshwa na nani hii ya mchungaji?!!! View attachment 813285
Ulinkafu jubha gwanghu?Hahahaha!! Waghona?
Shemeji[emoji119][emoji119][emoji119]Ulinkafu jubha gwanghu?
Ashukuriwe Mungu kwa upendo wake,afya yangu ni njema. Mengine nitaendelea kupambana nayo mwenyewe, si yote yampendezayo.
Ndi nkafu nyhambala..Kwakweli Mungu ndo muweza wa yote...Mengine mbwembwe tu.Ulinkafu jubha gwanghu?
Ashukuriwe Mungu kwa upendo wake,afya yangu ni njema. Mengine nitaendelea kupambana nayo mwenyewe, si yote yampendezayo.
Mampo poa kabisa kabisa. Karibu Tanga ule samaki[emoji3] [emoji3] [emoji3] mambo vipi mkuu
Mzee wa biashara na kilimo??Salama kabisa mzee wa pwani. Kwema huko?