mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Baraza la kitabibu mjini humo (Cremerj) limesema limefungua jalada la upelelezi kufahamu chanzo cha kifo cha mwanamama huyo.
Inapanda ziiiiiiii
Inashuka wuuuuuuuu
Inatua tiiiiiiiiiii
Kwani hiyo maneno ilikuwa juu ya paji la uso?
Poti kumebadilika sana Nansio kweli maendeleo yanasonga haraka sanaHahaa, kitu kama hii ya kupakia watu wawili kwenye pikipiki niliiona kule Nansio hivi karibuni! [emoji1][emoji1]
Madai yake anaona akiendelea kuwa na hizo ndude muonekano wake hauvutii , kwasababu kachora tatoo mwili mzima, hivyo kaamua kuondoa sehemu hizo ili apate kueneza tatoo mwili mzima. Maajabu.
Kwani hiyo maneno ilikuwa juu ya paji la uso?
Sipati picha ingekuwa juu ya paji la uso[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tembo si tembo dhahama tupu
Mshangae huyo aliyeamua kuifyeka wakati hiyo maneno iko mafichoni! [emoji1][emoji1]
Shwaiiiiiiniiii zake kabisa !!!
Hahahahaha!Jinu niki mwanawasu? [emoji23][emoji23]