Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kampuni ya kutengeneza magari ya fahari, Aston Martin imezindua mipango mipya ya kuunda gari linalopaa liitwalo "sports car for the skies". Ikishirikiana na Rolls Royce na wahandisi wa chuo kikuu Cranfield wanapanga kuzindua magari yatakayopaa kama ndege miaka miwili ijayo. Je, unadhani watu watakuwa wanapaa na magari hewani katika siku za usoni? T
 
Hii nimeipenda. Apumzike kwa amani.
 
Habari hii nilishaisoma wapi hii? Hapa hapa ama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…