Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ohhoo kumbe ngekewa ni mnyamaKama umewahi kusikia watu wanasema fulani bwana ana bahati ya "NGEKEWA"
Basi umjue Ngekewa mwenyewe ni huyo MNYAMA...
Ngekewa Anapendwa na Wanyama wote Duniani kama unavyoona katika picha hizi.
View attachment 813546
Sikuelewa kabisa pale poti! [emoji1][emoji1]