Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

TANZIA TANZIA

Kwa niaba ya Familia ya Mama Salma Rashid-Kikwete na Dr. Jakaya Kikwete, naomba kutoa taarifa kuwa Mama Salma Rashid Kikwete amefiwa na Baba yake Mzazi Mzee Rashid Mkwachu. Shughuli za Mazishi zitakuwa Msasani,Nyumbani kwa Mama na Dr.Jakaya Kikwete.Mazishi yatafanyika katika Makaburi ya Kisutu kesho Ijumaa Tarehe 20 July 2018 tarehe Saa Kumi Jioni, Baada ya Sala ya Alasiri.

Kwa niaba ya Familia
Ridhiwani Kikwete.
Apumzike kwa amani
 
[emoji23]
20180720_082610.jpg
 
Mkuu una kipaji cha kuandika vitabu ila basi tu likes zinakupotezea muda. Kitabu hiki nitakisoma baadaye mkuu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mkuu usinipe huo ujiko nimekopi na kupaste tu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapa likes tu
 
Back
Top Bottom