GOD ONLYUzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau
LikesGOD ONLY
Kesho njoo uchukuenaomba line ya azam
Humu ndani hata uje na upako wa mwaka mzima hautachukua muda itauona uleeee[emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117]unaondoka[emoji124][emoji124][emoji124]Amen [emoji120] [emoji120]
[emoji124] [emoji124]ahsante Mungu kiumbe wako ameanza kurudi kwenye mstari sahihi...
Bai bai[emoji112] [emoji112] misambwanda na "mibofulo"
location?Kesho njoo uchukue
carba wewe sio wa kunipotezea kihivyoo😳😱😱Humu ndani hata uje na upako wa mwaka mzima hautachukua muda itauona uleeee[emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117]unaondoka[emoji124][emoji124][emoji124]
mbegu za alizeti na maboga[emoji23][emoji23][emoji23]Eeeeee.... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jioni ya mbegu za papai
Mwanzalocation?
okayMwanza
[emoji23]karibuokay
Yaani shida tupu,binadamu haturidhiki aiseehWatu wanaenda gym kuwa wembamba wengine hawautaki
Hapana,mimi ni kibonge bhana[emoji12][emoji12]Carba inaoneka wewe kimodo
Baby shem sijakuona bhanacarba wewe sio wa kunipotezea kihivyoo😳😱😱
Habari ya jioni majirani,poleni na mihangaiko ya siku
Nmepita kuwasalimia
Nashukuru[emoji120] [emoji120] [emoji120]Salama na asante tumosa,karibu sana