moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Hahahahahaha, wapi uniq
Hahahahahaha, wapi uniq
Watu wanaenda gym kuwa wembamba wengine hawautaki
Kaka?!!!!Shkamoo kaka andjul [emoji4]
Mhandisi ajae
Yopwiki endi inanukia..
Ndoto nzuri sana
Poa mkuuHabari mzee wa liver
Asante ledada, habari za jioniPole kwa kikohozi [emoji23][emoji23]
Pesa mingi sana kwa ajili ya GKHahahahaha ,[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mkuu yule golikipa ni jembe ni vile tu amekosa beki madhubuti kama ulivyo ukuta wa liver hivi sasa. Kwenye soka usiangalie golikipa amefungwa goli ngapi angalia mazingira ya magoli yenyewe.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Siyo wewe unayesemaga kuwa haya mambo yasubiri mida ya wanga? Eti mida mingine watoto wanakuwa bado hawajalala?
Salama moud, umeshindaje?Asante ledada, habari za jioni
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 813978
Haujui Ijumaa ndio anakuwa na homework nyingi... Yupo darasani anacopyHahahahahaha, wapi uniq
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Ni kweliduh!! ugonjwa huo..