Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Liverpool wamelipa pauni 67 Milioni kumnunua kipa waliyemfunga mabao saba ndani ya dakika 180 Champions League
Chama langu lakini kwa hili wamekurupuka kabisa
Hahahahaha ,[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mkuu yule golikipa ni jembe ni vile tu amekosa beki madhubuti kama ulivyo ukuta wa liver hivi sasa. Kwenye soka usiangalie golikipa amefungwa goli ngapi angalia mazingira ya magoli yenyewe.
 
FB_IMG_1532007827379.jpg
 
Back
Top Bottom