Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Klopp alikuwa anataka kumpa nafasi nyingine Karius lakini hakukuwa na dalili za kipa huyo kujirudi baada ya kurudia makosa katika pambano la kirafiki dhidi a Tranmere Jumanne usiku na hatimaye mabosi wa Liverpool waliamua kuvunja rekodi ya uhamisho kwa Alisson ambaye walikuwa wanamfukuzia tangu Januari.
 
Chelsea ilikuwa imeingia katika mbio za kumnasa Alisson baada ya kugundua kuwa kipa wake, Thibaut Courtois anaelekea Real Madrid lakini pia Alisson anafahamika kwa kocha mpya wa timu hiyo, Maurizio Sarri.
 
we mzee wewe
Yaani kusifiwa kote huko[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nilisema mimi
Ndo kazi waliyo kuwa nayo mama zetu, unatumwa dukani kununua unga na unasisitizwa "usije ukamwaga, mtakula matako yenu",Mungu alivyo jeuri unaenda na kurudi bila kupata ajali na mvua inanyesha.
Ajiroge akutume kununua mafuta ya kupikia na urudi haraka, hazipitiki dakika kumi unarudi na "uji wa mafuta " umejaa mchanga. Yalimwagika na yamezolewa.... Nimekoma kumsifia Shimba[emoji19] [emoji19] [emoji19]
 
Usajili wake unaweza kuwa wa mwisho kwa Liverpool katika dirisha hili baada ya kufanikiwa kuwanasa Naby Keita kutoka RB Leipzig, Xherdan Shaqiri kutoka Stoke na Fabinho kutoka Monaco. Dili la kumnasa Nabil Fekir kutoka Lyon lilikwama.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mmeniharibia kijana nyie
 
*Mtu mfupi hupaswi kusema nilipambana juu chini...sema tu nilipambana chini kwa chini*
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wafupi tuna kazi mno ila Bora Uhai
 
Anytime you see a girl shaking her buttocks while walking, just know she is going to her guy's place.
How did I know because it's written on syrup bottles "shake well before use" wisdom will kill me one day.[emoji124][emoji124][emoji124]
[emoji124] [emoji124] Hadi anafika itakuwa chapachapaa... Yaani ni "fyioooo... Fyoo"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…