Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

KOCHA, Maurizio Sarri ameambiwa hivi na bosi wake mpya huko klabuni Chelsea, Roman Abramovich kwamba anapaswa kubadili tabia baada ya kuchaguliwa kuchukua mikoba ya Antonio Conte huko Stamford Bridge.
Sarri ameambiwa hivi, kwanza anapaswa kuvaa suti katika kila mechi na kuachana na ile desturi ya kuvaa tracksuit na pia afute kabisa ile kawaida yake ya kwenda kuvuta sigara wakati wapumziko.
 
[emoji124] [emoji124] Hadi anafika itakuwa chapachapaa... Yaani ni "fyioooo... Fyoo"
Jizazi...

Halafu kuwe na joto na humidity ya kutosha; na kuwe na kamwendo kidogo huko anakopeleka hiyo fyiooo...fyooo....Atafika kunatokota [emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
 
Back
Top Bottom