Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uamuzi wa kaunti ya Mombasa kuamuru wamiliki wa majumba yote katikati mwa mji huo yapakwe rangi ya samawati na nyeupe umezua hisia tofauti huku baadhi ya wakaazi wakifurahia mabadiliko hayo na wengine hasa wafanya biashara wakilalamika.
Miongoni mwa wafanya biashara waliowasilisha kesi mahakamani wakipinga uamuzi huo lakini hawakufanikiwa.
Wameishutumu vikali serikali ya kaunti hiyo chini ya uongozi wa Gavana Hassan Joho kuwashurutisha kupaka rangi ambayo haiwapendezi.
 
Imebidi nikubali kwa sababu sina uwezo wa kukiuka sheria hiyo. Mimi ni muuzaji simu ningependa kijani kibichi inayoashiria Safaricom.''
Agizo la serikali ya kaunti linasemaje?
Hatua ya miji kupakwa rangi inatokana na ilani iliyotolewa na serikali ya kaunti kwa wakaazi na wamiliki wa majengo mnamo Machi mwaka huu 2018.
Agizo hilo linasema majengo yanastahili kupakwa ranginyeupe na samawatiinayoachiria bahari ya Hindi.
Utawala wa kaunti ulitoa siku 14 kutiii agizo la kutayarisha upakaji rangi na siku 30 kutoka siku ya kuanza kutekelezwa ka agizo hilo kukamilisha shughuli hiyo.
 
Agizo hilo lilipitishwa baada ya vikao na na wakaazi wa mji huo katika baraza la wazi kuhusu utekelezaji wa mpango huo, ambapo hisia inayotajwa kuibuka ni kwamba ingekuwa njia ya rahisi ya kurudisha urembo na hadhi ya mji huo mkongwe na wa pili kwa ukubwa Kenya.
 
*UWEZO WA _BUNDI_ KUTAMBUA KIFO CHA MTU*


BUNDI ni aina ya ndege ambaye hula nyama; hufanya mawindo yao wakati wa usiku na kupumzika wakati wa mchana.
Pamekuwepo na imani kwa wengi kwamba bundi anaponekana nyumbani kwa mtu ni lazima kuna mtu atakufa katika nyumba hiyo.
Hivyo imewapelekea watu wengi kuwa na hofu kubwa sana juu ya kiumbe hiki cha Mungu na hivyo kukihusisha na nguvu za giza kwamba ni lazima ametumwa na mchawi ili kuchukua roho ya mtu. UKWELI UPO HIVI:

Bundi ana uwezo mkubwa sana wa kuvuta harufu ya mzoga kutoka mbali. Uwezo huu wa kunusa harufu unapita uwezo walionao binadamu.
Hivyo inapotokea katika nyumba fulani kuna mgonjwa mahututi ambaye seli za mwili wake zimeshaanza kufa lakini mapigo ya moyo bado yanafanya kazi; Bundi huweza kunusa harufu ya seli hizo, harufu ambayo binadamu hawawezi kuihisi, na hivyo huvutiwa kuisogelea kwa ajili ya kujipatia chakula, ila hataweza kuingia ndani kwa kuhofia binadamu. Kwa kawaida binadamu hafi mara moja, bali hufa hatua kwa hatua. Zinaanza kwanza kufa seli za mwili, baadaye ogani mbalimbali za mwili.
Ogani za mwisho kufa ni moyo ikifuatiwa na ubongo. Hivyo bundi anapoonekana kwenye nyumba yenye mgonjwa mahututi ni dalili kwamba mgonjwa huyo ameshaanza hatua za kufariki, na hivyo uwezekano wa mgonjwa huyo kufariki siku za karibuni ni mkubwa sana.
Inapotokea kwamba mgonjwa amekufa baada ya bundi kuonekana, tafsiri sahihi siyo kwamba kifo kimesababishwa na bundi bali ni kwamba dalili za kifo cha mgonjwa huyo zimetambuliwa na bundi.
Hivyo cha kufanya siyo kumtafuta mchawi bali ni kuzidi kumkabidhi mgonjwa huyo katika huruma ya Mungu kwa njia ya sala.

Hofu ya bundi kama kiumbe chenye nguvu za giza ipo zaidi Afrika. Ulaya hawana hofu hiyo. Wao humtazama bundi kama kiumbe cha Mungu, kiumbe cha ajabu, na hivyo huvutika kukaribia kwa njia ya utalii, utafiti na hata ufugaji.
Zipo mbuga za wanyama zinazofuga bundi. Sifa mojawapo ya bundi inayowavutia watalii wengi kumtazama ni ule uwezo wake wa kugeuza shingo kutoka mbele mpaka nyuma pasipo kuhitaji kugeuka kwa kiwiliwili chake.

Hivyo hatupaswi kuwaogopa, kuwachukia bundi ama kuongea vibaya juu yao. Hao ni viumbe vya Mungu kama walivyo njiwa, kondoo, v n.k. Wao ni kazi ya Mungu.
Hivyo kuongea vibaya juu ya bundi ni kuongea vibaya juu ya kazi ya Mungu na hiyo kumpa shetani nafasi ili hofu izidi kutawala miongoni mwa watu.
Kwa hiyo tunapowaona bundi tuna wajibu wa kumpa Mungu SIFA NA UTUKUFU Kwa Kuwa Uwezo Huu Umetoka Kwake.


Na
_*Dr. Amani L. Mang'alila*_
_Animals Behavior & Psychology_.
Dodoma - Tanzania
 
Hassan Noor ni muuzaji wa nguo za watoto, na kwa miaka yote hiyo rangi ya biashara yake imekua ni ya manjano lakini sasa amelazimika kubadilisha rangi hiyo na kupaka samawati na nyeupe.
``Sasa ni vigumu kumuelekeza mteja mpya kwangu kwa sababu majumba yote yamefanana. Tumeshangaa sana maanake hatujakataa kupaka rangi zetu za biashara. Nakubali mji unang'ara lakini haupendezi kila jumba likiwa na rangi sawa.''
 
Kama mjuavyo Mombasa ilikua inavutia watalii wengi ambao kwa sasa wamepungua. Rangi ya samawati ni ya bahari, maji ndio rasilimali yetu kubwa na yana rangi mbili ya samawati na nyeupe.
Watu wengi wamefurahia hata ukiangalia kwenye mitandao ya kijamii wamesifu kaunti ya Mombasa. Lakini sio rahisi kufurahisha kila mtu ndio kwa maana wengine wao wanalalamika.''
Kwa wauzaji na wapaka rangi ni msimu wa kuvuna.
 
Ukiwa Mombasa utawaona wapaka rangi juu ya majumba wakiwa kazini furaha tele.
Dan Bonyo anasifu kaunti ya Mombasa kwa mradi huu.
`Kusema kweli tumeangukia, na kila siku si Jumapili lakini kwa sasa nitasema mambo mazuri kwetu, kazi ni nyingi ingawaje malipo si ya juu sana kwa sababu tuko wengi na kuna wengine wameingilia kazi hii lakini ni wapakaji rangi bandia hawana ujuzi' anasema Bonyo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23], huyo baba komesha!
Kweli kabisa aisee, asili inaondoka kabisa.

Mfano mzuri:-
Enzi hizo hakuna kabila lililokuwa likijua kuivisha ugali vizuri kama wanyamwezi (Tabora)..Ugali (DONA) ulikuwa unakaa jikoni karibu masaa 3, unasongwa afu unaachwa ukiwa unakwiva wenyewe taratiiibu, tena kwa kutumia chungu...Unakuwa wasikilizia tu harufu nzuri ya ugali.
Kama ni mgeni waweza sema hawa watu ni wachoyo mbona twapiga stori tu hawajishughulishi kuingia jikoni.?
Baada ya dakka 0 unashangaa ugali upo mezani....Kulikuwa hakuna haja ya kunawa baada ya kula ugali...Ila siku hizi wapikwa kama waloweka mchele, dakika 2 tu ugali mezani, hausisimui hata kwa harufu, mbaya zaidi unakuta ni SEMBE aaaiiiiiiiiiiiiii.....
Ugali unanata mpaka kwenye lipsi, ugali gani huo....Ndio maana kina DAVET wanajilia viepe tu..


Hata kiporo cha wali cha enzi hizo ilikuwa ni shida.....Unakila kwa umakini wa hali ya juu, hiki cha sasa hakipo sawa kabisa.
 
Njema kabisa....Shukrani kwa muumba.
Unakula ukoko mpaka mashavu yanatapakaa mafuta.[emoji23]
Mpaka mashavu yanatapakaa mafuta eeh!? Mashavu gani? Mafuta gani? Sijui mnachoongelea. Sijui hata nawaza nini. Naomba nisamehewe [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…