Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1532167082987.jpg
 
Yap!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ile ni habari nyingine tena
Nakumbuka kipindi hichoooooooooo, nilikuwa niko makini sana kuwahi matandu kabla wali haujageuzwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....Basi mpishi wa siku hiyo anakuwa anajua ratiba ya matandu, mnajikalisha pembeni ya jiko mkimuhimiza achochee moto kwa sana.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ebhna eeh tukubari au tukatae teknolojia inapunguza sana baadhi ya mambo,, hasa utamu sahihi wa wali,, wali unaopikwa kwenye jiko la mkaa au kuni,, uko na ladha yake aisee,, vtu km hvo matandu na ukoko vina raha yake

Kuna kipindi mama alishawahi kutuambia kpnd wadogo kuwa kuna familia moja hv ukipikwa wali basi matandu ni ya baba,, yaani unaambiwa bora akose wali na sio matandu,, tena akiona tu mke wake anapika anatoa oda kabsa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom